Book Creator

The Witch

by Esther

Cover

Loading...
THE WITCH
Loading...
MCHAWI
Loading...
By: Esther
Loading...
IMEANDIKWA NA ESTHER AYUMA.
Hapo zamani zakale, paliishi mchawi mmoja kwenye msitu uliotisha sana.
A long long time ago, there lived a Witch. The witch lived in a scary forest.
Msitu huo ulikuwa karibu na kijiji kimoja, mchawi huyo alikuwa akila mifugo ya wanakijiji hao
The forest was near a village. The witch like eating the villagers cattle.
Siku mmoja wanakijiji walianza kupiga nduru โ€œuuuuuuuuuuโ€kwa sababu waliona mchawi akila mifugo Yao.
One day, the villagers started shouting โ€œuuuuuuiii, uuuuuuuuiiiโ€ because they saw the witch eating their cattle.
Hivyo basi, wanakijiji walikimbia wakienda kumshika mchawi lakini akatoroka.
At that time, the villagers came but the witch ran away because she knew that she was going to be caught.


Siku iliyofuata mchawi alifurahi sana kwa kuwa usiku huo,watoto pamoja na wanakijiji walikuwa wameshalala.
The next day the witch was so excited it was midnight when the kids and the villagers were asleep.
PrevNext