Book Creator

Fish

by Jovlet & Bella

Cover

Loading...
Loading...
FISH
Loading...
By: Jovlet & Bella

Kwa majina naitwa Bella Beatrice na mwenzangu ni Jovlet Opayi.
Sisi ni wakenya. Kama wanajamii kutoka Luo, chakula tuipendayo ni samaki.


FISH
Hi my name is Bella Beatrice and my name is Jovlet Opayi. We are from Kenya. In Kenya we have different kinds of food. Our favorite food is fish.

Samaki inapatikana kwenye bahari ya Victoria. Aina ya samaki tuzipendazo ni Kama,
Ngege, Mbuta na menginezo .
FISH
Our fish is mostly found in Lake Victoria. We catch Tilapia and Nile perch in Lake Victoria.
FISH
Wakenya wanapenda samaki sana.
Samaki hutupa nguvu.
Kenyans really like fish. Fish gives us protein to keep us strong.
Ngege na mbuta zina pahali pakupumuwa kama samaki zingine.
FISH
Nile Perch and Tilapia have scales and gills like most fish.
Watu wengine hupenda kuuza samaki sokoni.Hii ni njia yao ya kupata pesa.
FISH
Some people sell fish in the market. This is a way for people to make money.
PrevNext