Skip to book content
My Swing - Swahili
by Vidya Nahar
Pages 2 and 3 of 9
Bembea yangu
Audio icon
My Swing In Thirty Seven World Languages - Library
My Swing in Thirty Seven World Languages - Master Book
Audio icon
Uandishi, Mpangilio,Uongozaji: Vidya Nahar
Mpiga picha: Nirali Nahar
Tafsiri na Simulizi : Baraka Mbise
www.vyayam.com
www.balodyan.com
www.vyanjan.us
Loading...
Hii ni bembea yangu.
Ninaipenda bembea yangu sana.
Audio icon
Loading...
Loading...
Loading...
Mara nyingine ninabembea kwa kukalia bembea yangu.
Audio icon
Loading...
na mara nyingine nikiwa nimesimama.
Audio icon
Loading...
Audio icon
Wakati mwingine ninajitundika kichwa chini miguu juu katika bembea yangu.
na mara nyingine ninafanya mazoezi ya Yoga kwa msaada wa bembea yangu.
Audio icon
Audio icon
Muda mwingine hujipumzisha kwa kulala katika bembea yangu
na muda mwingine ninasomea kitabu hapo.
Audio icon
Audio icon
Muda mwingine hukaa kwenye bembea yangu na kutafakari
na wakati mwingine hufikiria kuhusu vitu mbalimbali bila mpango maalum.
Audio icon
Audio icon
Ninapenda bembea yangu kupita kiasi
Audio icon
Vipi umeipenda bembea yangu?
www.vyayam.com
www.balodyan.com
www.vyanjan.us