My Swing - Swahili

by Vidya Nahar

Cover

Loading...
Bembea yangu
Loading...
Loading...
Uandishi, Mpangilio,Uongozaji: Vidya Nahar
Mpiga picha: Nirali Nahar
Tafsiri na Simulizi : Baraka Mbise
Hii ni bembea yangu.
Ninaipenda bembea yangu sana.
Mara nyingine ninabembea kwa kukalia bembea yangu.
na mara nyingine nikiwa nimesimama.
Wakati mwingine ninajitundika kichwa chini miguu juu katika bembea yangu.
na mara nyingine ninafanya mazoezi ya Yoga kwa msaada wa bembea yangu.
Muda mwingine hujipumzisha kwa kulala katika bembea yangu
na muda mwingine ninasomea kitabu hapo.
PrevNext